
|
Contact us:
AVIC Consultants Plot 60 Block 45, Kajenge Street, Kijitonyama, P O Box 11924, Dar es Salaam, Tanzania
|
|
UTANGULIZI Tan Business Channel inatengeneza video na vipindi va Television, ambavyo vinakidhi mahitaji ya watazamaji na wasikilizaji. Watamazaji wanao lengwa ni vijana wenye umri wa miaka 18-35 ambao wanahitaji elimu ya biashara itakayo wasaidia kujiajiri badala ya kutegemea ajira za sector binafsi na serikali CHANGAMOTO YA VIJANA WANAO HITIMU MASOMO KWENYE VYUO Vijana wanao hitimu vyuo vikuu na vyuo vya kati wanakabiliwa na changamoto ya kupata ajira kutoka sekta binafsi na serikali. Kutokana na hali hiyo, Tan Business Channel inatoa elimu ya biashara inayo lengwa kwa vijana, ili wafanikiwe kujiajiri |
|
badala ya kutegemea sector binafsi na serikali Tunatoa ushauri kuhusu mambo yafuatayo: · Kuanzisha biashara · Kusimamia biashara · Kutengeneza hesabu za biashara · Mtaji wa biashara · Kuandika Business Plan Kama unahitaji ushauri, wasiliana nasi kupitia WhatsApp 255 752 447 689 Unaweza pia kununua vitabu vya ujasiriamali kupitia WhatsApp 255 752 447 689 PROGRAMS ZA TAN BUSINESS CHANNEL Tan Business Channel, ina elimisha kupitia programs zifuatazo: · Kuanzisha biashara · Kuendeleza biashara · Usimamizi mzuri wa fedha za biashara
|

|
Usikose kuangalia kipindi cha Dira ya Ujasiriamali siku za Jumatatu-Jumamosi 9.00-10.00 PM
https://youtube.com/alimwambola
|
|
Pata elimu ya ujasiriamali kupitia Tan Business Online School
|
|
TAN BUSINESS CHANNEL ONLINE TV |
|
TAN BUSINESS BOOK PUBLISHING |
|
TAN BUSINESS ONLINE SCHOOL |
|
Tan Business Channel |