Contact us:

 

AVIC Consultants

Plot 60 Block 45, Kajenge Street, Kijitonyama,

P O Box 11924,

Dar es Salaam,

Tanzania

 

Phones

 

+ 255 752 447 689

 

Email Address

 

ajmwambola@tanbusiness.co.tz

INTRODUCTION

Kuna changamoto nyingi unaweza kukumbana nazo unapotaka kuanzisha au kuendeleza biashara  

Jambo la muhimu ni kufahamu kuwa, mafanikio ya biashara yanategemea unavyo tekeleza taratibu sahihi za kuanzisha na kuendeleza biashara

Hivyo ni muhimu upate elimu ya ujasiriamali ambayo itakusaidia kutekeeza taratibu sahihi za kuanzisha na kuendeleza biashara

 

VITABU VYA UJASIRIAMALI

Kutokana na changamoto wanazo kumbana nazo wajasiriamali wakati wa kuanzisha au kuendeleza biashara, Tan Business Channel imechapisha

vitabu mbali mbali vya ujasiriamali

Vitabu hivyo ni kama vifuatavyo:

ˇ Kuanzisha biashara ya duka la rejareja

ˇ Kuanzisha biashara ya mgahawa

ˇ Kuanzisha biashara ya salon

ˇ Kuanzisha biashara ya vipodozi

ˇ Kuandika business plan

ˇ Kutengeneza hesabu za biashara

ˇ Kuanzisha biashara ya nguo

ˇ Kuanzisha biashara ya sembe

ˇ Kuanzisha biashara ya nguo za mitumba

ˇ Kitabu cha mtaji wa biashara

ˇ Kutengeneza mfumo wa biashara

ˇ Kuanzisha biashara endelevu

 

Karibu ujifunze ujasiriamali kwa kutumia vitabu vya ujasiriamali vya Tan Business Channel

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuanzisha biashara ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuanzisha biashara ya unga wa sembe ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK

 

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuandika business plan ambayo unaweza pia kutumia kuomba mkopo bank. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kufanya makisio ya mtaji wa biashara. Kinaeleza sehemu unayoweza kupata mtaji wa biashara. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuanzisha biashara ya nguo za mitumba ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kutengeneza mfumo wa biashara ambayo unaleta ufanisi na kufanikisha kufikia malengo ya biashara. Kupata hiki kitabu bonyeza  LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuanzisha biashara ya mgahawa ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza  LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuanzisha biashara ya salon ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza  LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kutengeneza hesabu za biashara ambayo unaweza kufahamu kama biashara inapata faida au hasara. Kupata hiki kitabu bonyeza  LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuanzisha biashara ya duka la nguo ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza  LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuanzisha biashara ya vipodozi ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza  LINK

Hiki kitabu kinaeleza  taratibu za kuanzisha biashara ya duka la rejareja ambayo inakuwa endelevu. Kupata hiki kitabu bonyeza  LINK

Usikose kuangalia kipindi cha Dira ya Ujasiriamali siku za Jumatatu-Jumamosi 9.00-10.00 PM

 

https://youtube.com/alimwambola

 

Pata elimu ya ujasiriamali kupitia Tan Business Online School

 

https://ali-mwambola-s-school.teachable.com/p/home

Pata kitabu cha ujasiriamali kupitia Draft 2 Digital

 

www.draft2digital.com

TAN BUSINESS CHANNEL ONLINE TV

TAN BUSINESS BOOK PUBLISHING

TAN BUSINESS ONLINE SCHOOL

Tan Business Channel